- London,England.
- Ligi kuu nchini England inatarajiwa kuendelea tena wikendi hii kwa vilabu 14 kushika dimbani kusaka pointi 3 muhimu.Katika mchezo wa mapema vinara Manchester City watakuwa wageni wa Stoke City katika dimba la Brittania huku baadae Manchester United ikiwaalika watoto wa London timu ya Westham United ambayo msimu huu imekuwa ikiviumbua vigogo kwa kuvifunga kila inapokutana navyo.
- Ratika/Muda kamili uko kama ifuatavyo
- Jumamosi,December 5,2015
- 14:45 Stoke v Man City
- 17:00 Southampton v Aston Villa
- 17:00 Man United v West Ham
- 19:30 Chelsea v Bournemouth
0 comments:
Post a Comment