Dar Es Salaam,Tanzania.
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho (FA),Yanga SC,wametangaza kikosi chao kitakachoshuka katika dimba la Uwanja wa Taifa,kucheza na Azam FC katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii.
Kikosi kitakuwa hivi!!
1.Deogratius Bonaventura Munishi 'Dida'
2.Hassan Ramadhan Kessy 'Alves'
3.Haji Mwinyi Ngwali
4.Mbuyu Junior Twite
5.Vincent Bossou
6. Said Juma Makapu.
7. Haruna Niyonzima
8.Juma Mahadhi
9.Thaban Michael Kamusoko
10.Amissi Jocelyn Tambwe
11.Donald Dombo Ngoma.
Akiba:
Benno Kakolanya
Oscar Joshua
Deus Kaseke
Simon Msuva
Malimi Busungu
Matheo Anthony
Pato Ngonyani.
Mchezo utaanza saa 10:00 na utaonyeshwa kupitia kituo cha luninga cha Agape Television Network (ATN)
0 comments:
Post a Comment