728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, August 31, 2016

    MARIO BALOTELLI AIHAMA LIVERPOOL NA KUTUA UFARANSA

    Nice,Ufaransa.

    Mario Balotelli (pichani) ameihama Liverpool na kujiunga na klabu ya OGC Nice inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Ufaransa kwa uhamisho huru.

    Balotelli,26,amesaini mkataba wa miaka minne wa kuitumikia OGC Nice baada ya kufaulu zoezi la upimaji wa afya yake.

    Balotelli ameiacha Liverpool akiwa amefanikiwa kuichezea jumla ya michezo 28 na kuifungia mabao manne pekee tangu alipojiunga nayo mwaka 2014 akitokea AC Milan ya Italia kwa ada ya £16m.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MARIO BALOTELLI AIHAMA LIVERPOOL NA KUTUA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top