London,Uingereza.
KIUNGO wa Kimataifa wa England,Jack Wilshere akiwa ameshika jezi ya Bournemouth baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo wa msimu mmoja kutoka Arsenal.
Wilshere,24,amejiunga na Bournemouth baada ya kushindwa kupenya katika kikosi kwanza cha Arsenal hasa baada ya ujio wa kiungo wa Uswisi,Granit Xhaka,ambaye ameonekana kuwa bora zaidi yake.
0 comments:
Post a Comment