728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, June 02, 2016

    HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI 100 MWENYE THAMANI KUBWA ZAIDI DUNIANI,MESSI BABA LAO.

    London,England.

    SHIRIKA la CIES Football
    Observatory ambalo linajihusisha na kufuatilia masuala mbalimbali ya mchezo wa mpira wa miguu duniani limetoa orodha ya wachezaji 100 mwenye thamani kubwa zaidi duniani kwa sasa.

    Thamani hiyo imetolewa kutokana na umri,urefu wa mkataba na kiwango/takwimu za uchezaji ( performance-based stats)

    Katika orodha hiyo mshambuliaji wa FC Barcelona Muargentina Lionel Messi anaongoza kwa kuwa na thamani ya £163m.

    Nafasi ya pili imeshikwa na Neymar Dos Santos Jr mwenye thamani ya £155m.Cristiano Ronaldo anashika nafasi ya tatu akiwa na thamani ya £106m

    Nafasi ya nne imeshikwa na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid mwenye thamani ya £93m huku nafasi ya tano ikienda kwa Harry Kane wa Tottenham mwenye thamani ya £87m.

    Orodha yote iko hapa chini 1-100

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI 100 MWENYE THAMANI KUBWA ZAIDI DUNIANI,MESSI BABA LAO. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top