728x90 AdSpace

Monday, June 20, 2016

NYOTA ARSENAL AKUBALI KUMFUATA PEP GUARDIOLA MAN CITY

Manchester, England.

Rasmi Mikel Arteta ameachana na Arsenal na kukubali kuwa sehemu ya benchi la ufundi la klabu la Manchester City linaloongozwa na Pep Guardiola.


Arteta,34,ambaye amenyiwa mkataba mpya Arsenal baada ya ule wa awali kufikia mwisho amekataa ofa ya kuwa msaidizi wa Kocha Mauricio Pochetinno katika klabu ya Tottenham pamoja na kusalia Emirates kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha vijana cha Arsenal cha U18 na kile cha U21.

Guardiola,45, anamuona Arteta kama mtu sahihi katika ujenzi wa Manchester City mpya.Arteta na Guardiola ni marafiki wakubwa na waliwahi kuwa pamoja katika klabu ya Barcelona.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: NYOTA ARSENAL AKUBALI KUMFUATA PEP GUARDIOLA MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Unknown