New Jersey,Marekani.
CHILE imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Copa America kwa mara ya pili mfululizo baada ya Alfajiri ya leo kuifunga Argentina kwa penati 4-2 katika mchezo mkali wa Fainali uliochezwa katika Uwanja wa MetLife Stadium, East Rutherford,huko New Jersey.
Penati za Chile zimefungwa na Charles Aranguiz,Castillo Jean Beausejour na Francisco Silva aliyefunga penati ya mwisho.Arturo Vidal alikosa.
Penati za Argentina zimefungwa na Javier Mascherano na Kun Aguero huku Lionel Messi na Lucas Biglia wakikosa.
Alexis Sanchez ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa michuano.
VIKOSI
Argentina: Sergio Romero; Gabriel Mercado, Nicolas Otamendi, Ramiro Funes Mori, Marcos Rojo (red 43');Lucas Biglia, Javier Mascherano, Ever Banega (Erik Lamela 111'); Lionel Messi, Gonzalo Higuain (Sergio Aguero 69'), Angel di Maria (Mattias Kranevitter 57')
Chile: Claudio Bravo; Mauricio Isla,Gary Medel, Gonzalo Jara, Jean Beausejour; Charles Aranguiz, Marcelo Diaz (red 29'), Arturo Vidal; Jose Fuenzalida (Edson Puch 79'), Edu Vargas (Nicolas Castillo 109'), Alexis Sanchez (Francisco Silva 103')
0 comments:
Post a Comment