728x90 AdSpace

Monday, October 12, 2015

KLOPP ATAKA KIPA MPYA LIVERPOOL,MIGNOLET HAPANA AISEE,AWATAJA WAWILI TOKA UJERUMANI

                                                                          Beno

Kutoka Liverpool habari zinasema kocha mpya wa klabu hiyo Mjerumani Jurgen Klopp anajipanga kusajili golikipa mpya mwishoni mwa msimu huu na tayari imeshabainika karata yake inaelekea Ujerumani.

Kutoka gazeti la Mirror la England habari zinasema Klopp anajipanga kumsajili Bernd Leno wa Bayer Leverkusen ama Loris Karius wa Mainz ili kuchukua nafasi ya Simon Mignolet ambaye machoni mwa Klopp haonekani kama mtu sahihi wa kukaa langoni mwa Liverpool.

                                                                       Karius
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: KLOPP ATAKA KIPA MPYA LIVERPOOL,MIGNOLET HAPANA AISEE,AWATAJA WAWILI TOKA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Unknown