London,England.
Michezo ya kombe la Capital One raundi ya 5 itachezwa leo jumanne na kesho jumatano ambapo timu 16 zitashuka dimbani kusaka pointi 3 muhimu.Michezo yote itachezwa saa 3:45 Usiku
Ratiba ya michuano hiyo iko kama ifuatavyo........
Jumanne Octoba 27
Everton v Norwich
Hull v Leicester
Sheffield Wednesday v Arsenal
Stoke v Chelsea
Jumatano Octoba 28
Liverpool v Bournemouth
Manchester City v Crystal Palace
Manchester United v Middlesbrough
Southampton v Aston Villa
0 comments:
Post a Comment