Ligi kuu Tanzania bara inatarajiwa kutimua tena vumbi lake wikendi hii kwa vilabu mbalimbali kushuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu.
Michezo hiyo iko kama ifuatavyo.....
Simba SC Vs Majimaji FC
Kagera Sugar Vs Yanga SC
Mtibwa Sugar Vs Mwadui FC
Prisons Vs Ndanda FC
Coastal Union Vs Mbeya City
Jumapili Novemba 1, 2015
African Sports Vs JKT Ruvu
Azam FC Vs Toto Africans
Jumatatu Novemba 2, 2015
Mgambo Shooting Vs Stand United
0 comments:
Post a Comment