Manchester,England.
Manchester United imetupwa nje ya michuano ya Capital One baada ya kukubali kichapo cha penati 3-1 toka kwa klabu ya daraja la kwanza ya Middlesbrough katika mchezo mkali uliopigwa katika dimba la Old Trafford jumatano usiku.
Mchezo huo ulilazimika kufikia hatua ya penati baada ya vilabu vyote viwili kushindwa kufungana ndani ya dakika 120. Wayne Rooney, Michael Carrick na Ashley Young walikosa penati zao
Matokeo mengine ya Capital One
Liverpool 1-0 B'mouth FT ( Nathaniel Clyn)
Man City 5-1 C Palace FT ( Wilfried Bony,Kelechi Iheanacho, Kevin De Bruyne,Manu Garcia na Yaya Toure)
So'ton 2-1 A Villa FT ( Maya Yoshida na Graziano Pelle, Scott Sinclair)
Capital One:Hatua ya robo fainali.
Middlesbrough v Everton
Southampton v Liverpool
Stoke City v Sheffield Wednesday
Manchester City v Hull City
0 comments:
Post a Comment