Inaweza kushangaza lakini ukweli ndiyo huo.Mlinzi kinda wa Arsenal,Hector Bellerin ndiye anayeongoza kutengeneza nafasi za mabao Ulaya kwa sasa akiwa pamoja na winga Stuttgart,Filip Kostic na kiungo wa Angers Thomas Mangani ambao kila mmoja ametemgeneza nafasi sita.(clear- cut chances).
Hizi ni nafasi ambazo mchezaji anaweza kufunga akiwa uso kwa uso na mlinzi/kipa wa klabu pinzani au karibu kabisa na goli la adui.
Nyuma ya hao watatu kuna Lionel Messi, Isco, Henrikh Mkhitaryan, Santi Cazorla, Dimitri Payet, Jimmy Briand, Jean Seri, Victor Rodriguez, Wahbi Khazri na Gael Danic.
0 comments:
Post a Comment