Mwanamitindo raia wa Italia Francesca Casula ameahidi kupozi akiwa mtupu mbele ya wachezaji ikiwa klabu yake ya Cagliari itarejea Seria A msimu ujao.
Casula,29 ambaye ni shabiki wa kutupwa wa Cagliari ameyasema hayo hivi karibuni wakati akiongea na wachezaji wa klabu hiyo inayoshiriki ligi ya Seria B baada ya kushuka msimu uliopita.Mrembo huyo ambaye ameshawahi kufanya kazi za mitindo na makampuni ya Yokohama,Ducati na Cimbria amesema hamu yake ni kuiona tena Cagliari ikirejea Seria A na kuvaana na vilabu vya AC Milan,AS Lazio,Inter Milan,Roma na Juventus.
Amesema "Kama Cagliari itarejea Seria A,nitakuwa zawadi kwenu"
0 comments:
Post a Comment