Cairo,Misri.
Shirikisho la vyama vya soka barani Afrika (CAF) leo hii limetangaza majina ya wachezaji 37 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Afrika.
Katika tuzo hiyo itakayotolewa baadae mwaka huu Afrika Mashariki imewakilishwa na kiungo Victor Wanyama anayekipiga katika klabu ya Southampton ya England.
Orodha kamili iko kama ifuatavyo .....
0 comments:
Post a Comment