Majina 23 ya wachezaji watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa dunia yametoka baada ya mchujo uliofanywa hivi karibuni kufuatia majina 54 ya awamu ya kwanza.
Ligi ya England imetoa nyota watano wakiongozwa na Alexis Sanchez huku pia ligi hiyo ikitoa makocha wawili watakaowania tuzo ya kocha bora kwa mwaka 2015,makocha hao ni Jose Mourinho (Chelsea) na Arsene Wenger (Arsenal).
Tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2014 ilichukuliwa na Cristiano Ronaldo ikiwa ni mara yake ya pili.
Wachezaji 23 wanaowania tuzo ya machezaji bora wa mwaka (Ballon d'Or 2015)
Sergio Aguero (Argentina/Manchester City)Gareth Bale (Wales/Real Madrid)
Karim Benzema (France/Real Madrid)
Cristiano Ronaldo (Portugal/Real Madrid)
Kevin De Bruyne (Belgium/VfL Wolfsburg/Manchester City)
Eden Hazard (Belgium/Chelsea)
Zlatan Ibrahimovic (Sweden/Paris Saint-Germain)
Andres Iniesta (Spain/FC Barcelona)
Toni Kroos (Germany/Real Madrid)
Robert Lewandowski (Poland/FC Bayern Munich)
Javier Mascherano (Argentina/FC Barcelona)
Lionel Messi (Argentina/FC Barcelona)
Thomas Muller (Germany/FC Bayern Munich)
Manuel Neuer (Germany/FC Bayern Munich)
Neymar (Brazil/FC Barcelona)
Paul Pogba (France/Juventus)
Ivan Rakitic (Croatia/FC Barcelona)
Arjen Robben (Netherlands/FC Bayern Munich)
James Rodriguez (Colombia/Real Madrid)
Alexis Sanchez (Chile/Arsenal)
Luis Suarez (Uruguay/FC Barcelona)
Yaya Toure (Cote d'Ivoire/Manchester City)
Arturo Vidal (Chile/Juventus/FC Bayern Munich)
Makocha wanaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka
Massimiliano Allegri (Italy/Juventus)
Carlo Ancelotti (Italy/Real Madrid)
Laurent Blanc (France/Paris Saint-Germain)
Unai Emery (Spain/Sevilla FC)
Pep Guardiola (Spain/FC Bayern Munich)
Luis Enrique Martinez (Spain/FC Barcelona)
Jose Mourinho (Portugal/Chelsea)
Jorge Sampaoli (Argentina/Chilean national team)
Diego Simeone (Argentina/Atletico Madrid)
Arsene Wenger (France/Arsenal)
0 comments:
Post a Comment