Magoli manne ya dakika za 14, 26, 66, 85 ya kiungo Mdachi Georginio Wijnaldum yameipa Newcastle United ushindi wa kwanza wa ligi kuu England baada ya jioni ya leo kuibuka na ushindi wa magoli 6-2 dhidi ya Norwich City katika mchezo mkali uliopigwa katika dimba la St James' Park.
Magoli mengine ya Newcastle United yamefungwa na Ayoze Perez dakika ya 33 pamoja na Mserbia Alexander Mitrovic dakika ya 64.Holi la Norwich City limefungwa na Mbokani
Kufuatia ushindi huo Newcstle United imefikisha pointi 6 baada ya kushuka dimbani mara 9.
Vikosi kamili vilikuwa kama ifuatavyo.....
Newcastle:
Elliot, Janmaat, Mbemba,
Coloccini, Dummett (Haidara, 65), Sissoko,Tiote (Anita, 46), Colback, Wijnaldum, Perez,
Mitrovic (Cisse, 88).
Norwich:
Ruddy, Whittaker, Martin, Bassong,Olsson, Dorrans, Tettey (Hoolahan, 61)
Redmond, Howson, Brady, Mbokani.
0 comments:
Post a Comment