Unaweza kustaajabu jambo hili lakini ukweli ndivyo ulivyo.Staa wa filamu za ngono wa Marekani Jenna Jameson amesema yeye ni shabiki mkubwa wa klabu ya Manchester United na tayari ameshaanza mipango ya kuifukuzia tiketi ya mchezo wa leo usiku utakaopigwa kati ya Manchester United dhidi ya Barcelona.
Jenna,41 ameongeza siku ya leo itakuwa ni maalumu na muhimu sana kwake kwani atafanya kila awezalo ili kuwa sehemu ya umati utakaojitokeza katika dimba la Levi,San Francisco kuishuhudia timu aipendayo ikipepetana na mabingwa wa Ulaya Barcelona katika michuano ya International Cup.
0 comments:
Post a Comment