Ratiba kamili iko kama ifuatavyo.....
Jumanne:
APR v Khartoum (8:00 Mchana)
Gor Mahia v Malakia (10:00 Jioni)
Jumatano:
Al Shandy v KCCA (8:00 Mchana)
Yanga Sc v Azam Fc (10:00 Jioni)
Hatua ya robo fainali ya michuano ya Kagame itaanza kutimua vumbi lake siku ya jumanne na kisha kuendelea tena siku ya jumatano kwa timu mbili wenyeji [Yanga na Azam] kuvaana katika hatua hiyo.
0 comments:
Post a Comment