728x90 AdSpace

Wednesday, July 22, 2015

MAN UNITED YAENDELEZA UBABE MAREKANI YAIBANJUA SAN EARTHQUAKES 3-1



Manchester United imeendeleza wimbi lake la ushindi tangu itue katika ardhi ya Marekani baada ya muda mfupi uliopita kuibuka na ushindi mnono wa goli 3-1 dhidi ya San Jose Earthquakes.

Magoli ya Manchester United yalifungwa na Juan Mata,Memphis Depay na kinda Andreas Pereira huku lile la San Jose likifungwa na Fatai Alashe. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MAN UNITED YAENDELEZA UBABE MAREKANI YAIBANJUA SAN EARTHQUAKES 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Unknown