728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, July 22, 2015

    BAYERN YAIUA INTER MILAN 1-0,GOTZE SHUJAA



    Bayern Munich imefanikiwa kuifunga Inter Milan ya Italia bao 1-0 katika mchezo mkali wa kujipima nguvu uliopigwa jijini Shanghai,China.

    Bayern ilipata bao hilo kupitia kwa kiungo wake Mario Gotze 23 alifunga bao hilo dakika ya 80 akiunganisha vyema pasi ya kiungo Sebastian Rode
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BAYERN YAIUA INTER MILAN 1-0,GOTZE SHUJAA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top