Chicago,Marekani.
Manchester United imemaliza vibaya mechi zake za kujiandaa na msimu mpya wa ligi baada ya kukubali kipigo cha goli 2-0 toka kwa Paris Saint Germain katika mchezo mkali wa michuano ya ICC uliopigwa katika dimba la Soldier Field,Chicago.
PSG walipata magoli hayo kipindi cha kwanza kupitia kwa kiungo wake Blaise Matuidi na mshambuliaji wake Zlatan Ibrahimovic na kutwaa taji la ICC.
0 comments:
Post a Comment