Yanga imefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Kagame ikitokea Kundi A ikiwa ni baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMKM.
Katika mechi hiyo yenye kasi kubwa, Yanga ilipata ushindi huo kupitia kwa bao la Malimi Busungu.
Kabla ya beki wa KMKM kujichanganya na Amissi Tambwe kuupiga mpira uliompita kipa Nassor Abdullah na kuandika bao la pili.
Mpira ulikuwa wa kasi na ushindani mkubwa huku KMKM wakitoa upinzani mkali ingawa katika dakika 30 za mwisho, walionekana kulishinda ‘rigwaride la Yanga’.
0 comments:
Post a Comment