Wakala Mino Raiola akiwa na kinda Donyell Malen (16, Ajax)
London,England.
Klabu ya Arsenal imeendelea ku
sajili makinda baada ya kumsajili mshambuliaji kinda wa klabu ya Ajax Donyell Malen.
Mpaka sasa Arsenal imefanikiwa kusajili makinda sita ambao ni
Reine-Adelaide (17, Lens) Fortune (16, Lens) ,Dragomir (16, ACS Poli),Osei-Tutu (16, Reading)
Pileas (16, Cyprus),
0 comments:
Post a Comment