Klabu ya Liverpool imetangaza rasmi kumsajili mshambuliaji Christian Benteke toka klabu ya Aston Villa kwa ada ya £32.5m.
Benteke,24 amesaini mkataba wa miaka mitano baada ya Liverpool kukubali kutoa kitita hicho kikubwa cha pesa baada ya Aston Villa kusisitiza mara kwa mara kuwa nyota huyo asingeuzwa kwenda kokote ikiwa kiasi hiko kisingefikiwa.
0 comments:
Post a Comment