Da luz,Ureno.
Winga wa zamani wa klabu ya Manchester United Bebe ambaye miezi 6 iliyopita alisaini mkataba wa kukipiga na klabu ya Benfica kwa ada ya £3.5m baada ya kufanya vizuri akiwa kwa mkopo katika klabu ya Pacco Ferreira.
Ripoti zinasema Bebe ameshindwa kupata nafasi katika kikosi cha Benfica hivyo muda wowote kuanzia sasa atajiunga kwa mkopo na klabu ya Cordoba inayoshiriki ligi ya La Liga.
0 comments:
Post a Comment