728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, August 05, 2016

    HII HAPA RATIBA YOTE YA MICHEZO YA HATUA YA MTOANO YA EUROPA LIGI,SAMATTA NA GENK YAKE WAPEWA WACROATIA

    Nyon,Uswisi.

    RATIBA ya hatua ya mtoano ya Michuano ya Europa Ligi imepangwa mchana huu huko Nyon,Uswisi.

    Katika ratiba hiyo klabu ya KRC Genk inayochezewa na Mtanzania,Mbwana Ally Samatta,imepangwa kuvaana na Lokomotiva Zagreb ya Croatia.

    Michezo ya mkondo wa kwanza itachezwa Agosti 18 na ile ya marudiano itakuwa Agosti 25.

    Ratiba Kamili

    Astana(KAZ) v BATE (BLR)
    Arouca(POR) v Olympiacos (GRE)
    Midtjylland (DEN) v Osmanlıspor (TUR
    Trenčín(SVK) v Rapid Wien (AUT)
    Lokomotiva Zagreb (CRO) v Genk (BEL)
    AEK Larnaca (CYP) v Liberec (CZE)
    Dinamo Tbilisi(GEO) v PAOK (GRE)
    Austria Wien (AUT) v Rosenborg (NOR)
    Beitar Jerusalem (ISR) v St-Étienne (FRA) Vojvodina (SRB) v AZ (NED)
    Maribor (SVN) v Qäbälä (AZE)
    Slavia Praha(CZE) v Anderlecht (BEL)
    Astra(ROU) v West Ham (ENG)
    Fenerbahçe (TUR) v Grasshoppers (SU
    Brøndby (DEN) v Panathinaikos (G
    Krasnodar(RUS) v Partizani (ALB)
    Gent(BEL) v Shkëndija (MKD)
    İstanbul Başakşehir (TUR) v Shakhtar Donetsk (UKR)
    SønderjyskE(DEN) v Sparta Praha(CZ
    Sassuolo (ITA) v Crvena zvezda(S
    Göteborg(SWE) v Qarabağ (AZE)
    M. Tel-Aviv (ISR) v Hajduk Split (CRO

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HII HAPA RATIBA YOTE YA MICHEZO YA HATUA YA MTOANO YA EUROPA LIGI,SAMATTA NA GENK YAKE WAPEWA WACROATIA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top