Na Faridi Ozil Miraji
Kocha wa yanga, Hans Van Pluijm amepigwa Faini ya Sh 5000,000 na kufungiwa mechi 3 baada ya wakati wa mapumziko kuwazonga waamuzi na kuwatolea maneno ya kashfa.
Pia baada ya mechi kumalizika alikwenda kwenye chumba cha waamuzi na kuwatolea maneno ya kashfa.
Adhabu hiyo ni ya uzingativu wa kanuni ya 40 (1)
0 comments:
Post a Comment