Basel,Uswisi.
LIGI ya mabingwa wa Ulaya maarufu kama UEFA Champions League inatarajiwa kuendelea tena leo na kesho kwa michezo 32 kuchezwa katika viwanja mbalimbali barani humo.
Leo Jumanne Novemba 01,2016 jumla ya michezo 16 itachezwa katika viwanja vinane.Vivyo hivyo na kesho Jumatano Novemba 02,2016.Hatua hii ni ya marudiano.Michezo yote itachezwa Saa 10:45 Usiku badala ya Saa 9:45 Usiku.
Jumanne Novemba 01,2016
Kundi A
Basel v Paris Saint Germain
Ludo Razgrad v Arsenal
Kundi B
Besiktas v Napoli
Benfica v Dynamo Kiev
Kundi C
Borussia Monchengladbach v Celtic
Man City v Barcelona
Kundi D
Atl Madrid v FC Rostov
PSV Eindhoven v Bayern Munich
Jumatano Novemba 02,2016
Kundi E
Monaco v CSKA Moscow
Tottenham v Bayer Leverkusen
Kundi F
Borussia Dortimund v Sporting
Legia Warsaw v Real Madrid
Kundi G
FC Copenhagen v Leicester
FC Porto v Club Brugge
Kundi H
Juventus v Lyon
Sevilla v Dinamo Zagreb
0 comments:
Post a Comment