Na Faridi Ozil Miraji
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Ally Samatta ametupwa nje katika tuzo za mchezaji bora barani Afrika mwaka huu.
Samatta alikuwepo katika kundi moja na wachezaji wakali kama Yaya Toure, Sado Mane na wengine wengi. Hata hivyo watakaowania tuzo hiyo kwa mwaka huu
Riyad Mahrez ( Leicester city, Algeria)
Islam Slimani ( Leicester city, Algeria)
Mohammed Salah ( AS Roma, Misri)
Sadio Mane ( Liverpool, Senegal)
Pierre Emeeick Aubemiying ( Boeussia Dortumund, Gabon)
0 comments:
Post a Comment