Na Faridi Ozil Miraji
Leo juma tano Nov 23 itapigwa michezo Minne (4) ya ligi soka vijana Chini ya miaka 20 kwenye viwanja viwili hapa Dar es salaam na kule Bukoba
Hapa dar kutakuwa na moja kati ya mchezo mkali wa mahasimu kati ya Yanga Sc na Azam Fc utakaopigwa majira ya saa 8 kamili mchana uwanja wa kaitaba .
Wakati ndanda Fc itakuwa na kibarua cha kuwakabili Majimaji Fc uwanja wa Uhuru majira ya saa 8 kamili
Wakati saa kumi na nusu kutakuwa na michezo miwili pia kati ya Mwadui Fc vs Kagera sugar uwanja wa kaitaba, JKT Ruvu vs Tanzania Prisons uwanja wa uhuru, Michezo yote itakuwa Mubashara kupitia Azam TV.
0 comments:
Post a Comment