Stockholm,Sweden.
MABAO mawili ya mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria,Ahmed Musa,yameshindwa kuinusuru Leceister City na kichapo cha mabao 4-2 toka kwa Barcelona katika mchezo michuano ya International Championships Cup uliochezwa usiku huu katika uwanja wa Friends Arena huko Stockholm,Sweden.
Mabao yaliyoipa ushindi Barcelona katika mchezo huo yamefungwa na Munir El Haddadi (26', 45'),Luis Suarez (34',39) na Rafa Mujica (84').Yale ya Leceister City yamefungwa na Ahmed Musa (47', 66').
VIKOSI
BARCELONA: 25.Masip; 6.Denis, 7.Arda,9.Suárez, 10.Messi, 15.Marlon,17.Munir,18.Cámara, 20.S.Roberto, 22.Aleix Vidal,24.Mathieu
LEICESTER CITY: Zieler, Simpson, Huth,Morgan (c), Chilwell, Albrighton, Drinkwater,King, Gray,Mahrez, Vardy.
0 comments:
Post a Comment