Monaco,Ufaransa.
DROO ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya maarufu kama Uefa Champions League imepangwa jioni hii huko Monaco,Ufaransa.
Katika droo hiyo timu 32 zimegawanya katika makundi manane ya timu nne nne.Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi lake kuanzia Septemba na kuishia Juni 3,2017 huko Cardiff,Wales.
Makundi yako kama ifuatavyo....
0 comments:
Post a Comment