London,Uingereza.
BAADA kuhitimika kwa michezo ya Jumamosi na Jumapili ya ligi kuu England (PL) Soka Extra kwa msaada wa BBC inakuletea wachezaji 11 waliofanya vizuri.
Kipa - Artur Boruc (Bournemouth)
Mabeki:Curtis Davies (Hull),Scott Dann (Crystal Palace),Wes Morgan (Leicester),
Viungo:Danny Drinkwater
(Leicester),David Silva (Manchester City),N'Golo Kante (Chelsea),Eden Hazard (Chelsea),Alexis Sanchez (Arsenal),Raheem Sterling (Manchester City)
Mshambuliaji:Marcus Rashford (Manchester United)
0 comments:
Post a Comment