Jinja,Uganda.
TIMU ya taifa ya soka ya wanawake ya Ethiopia (Pichani) imetwaa ushindi wa tatu wa michuano ya CECAFA ya baada ya mchana huu kuwafunga wenyeji Uganda kwa mabao 4-1 katika mchezo uliochezwa huko Jinja.
Ethiopia imepata mabao yake kupitia kwa Erhima Zeregaw aliyefunga mabao matatu pamoja na Losa Abera aliyefunga bao moja.Bao la Uganda limefungwa na Hasifa Nassuna.
0 comments:
Post a Comment