London,England.
BAADA ya michezo minane kuchezwa jana Jumanne Usiku,ligi ya mabingwa barani Ulaya maarufu kama UEFA Champions League itaendelea tena leo Jumatano kwa michezo mingine minane kuchezwa katika viwanja vya miji mbalimbali.
Arsenal watakuwa nyumbani Emirates kucheza na FC Basel ya Uswisi.Miamba wa Hispania,FC Barcelona, watakuwa Ujerumani kuvaana na Borussia Moenchengladbach.
RATIBA KAMA IKO KAMA IFUATAVYO:
Kundi A
21:45 Arsenal vs Basel
21:45 Ludogorets Razgrad vs PSG
Kundi B
21:45 Besiktas vs Dynamo Kyiv
21:45 SSC Napoli vs Benfica
Kundi C
21:45 Borussia Moenchengladbach vs
Barcelona
21:45 Celtic vs Manchester City
Kundi D
21:45 Atletico Madrid vs Bayern Munich
21:45 FC Rostov vs PSV Eindhoven
MATOKEO YA MICHEZO YA JUMANNE
Kundi E
CSKA Moscow 0-1 Tottenham Hotspur
Mfungaji: Son 71
Monaco 1-1 Bayer Leverkusen
Wafungaji:Glik 90 / Hernandez 73
Kundi F
Borussia Dortmund 2-2 Real Madrid
Wafungaji: Aubameyang 43, Schuerrle 87 /
Ronaldo 17, Varane 68
Sporting CP 2-0 Legia Warszawa
Wafungaji: Ruiz 28, Dost 37
Kundi G
FC Koebenhavn 4-0 Club Brugge
Wafungaji: Denswil 54 (og), Dalaney 64,Santander 69, Joergensen 90
Leicester City 1-0 FC Porto
Mfungaji: Slimani 25
Kundi H
Dinamo Zagreb 0-4 Juventus
Wafungaji: Pjanic 24, Higuain 31, Dybala 57,Semper 85 (og)
Sevilla 1-0 Lyon
Mfungaji: Yedder 52
0 comments:
Post a Comment