728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, September 20, 2016

    LIGI KUU BARA:AFRICAN LYON,TOTO AFRICANS ZASHINDWA KUTAMBIANA


    Dar Es Salaam,Tanzania.

    MCHEZO pekee wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliochezwa jioni ya leo katika dimba la uwanja wa Uhuru,Dar Es Salaam,kati ya wenyeji African Lyon na wageni Toto Africans umeshindwa kumpata mshindi baada ya timu hizo kutoka sare ya bila kufungana.

    Licha ya timu hizo kucheza kwa kushambuliana kwa zamu lakini mpaka mchezo unakwisha hakuna timu iliyokuwa imeweza kuuona mlango wa mwenzie.




    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: LIGI KUU BARA:AFRICAN LYON,TOTO AFRICANS ZASHINDWA KUTAMBIANA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top