Dar Es Salaam,Tanzania.
LIGI KUU ya Vodacom Tanzania Bara maarufu kama VPL inatarajiwa kuendelea tena wikendi hii kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja saba nchini.
Kesho Jumamosi Septemba 24,2016 jumla ya michezo mitano itachezwa katika miji ya Dar Es Salaam,Mtwara,Mbeya,Mlandizi (Pwani) na Manungu (Morogoro)
Ligi hiyo itaendelea tena Jumapili Septemba 25,2016 kwa michezo miwili kuchezwa katika miji ya Mlandizi (Pwani) na Shinyanga.
RATIBA KAMILI
Jumamosi Septemba 24,2016
Simba SC v Majimaji FC
Ndanda FC v Azam FC
JKT Ruvu v Mbeya City
Mtibwa Sugar v Mbao FC
Tanzania Prisons v Mwadui FC
Jumapili Septemba 25,2016
Ruvu Shooting v Toto Africans
Stand United v Yanga SC
0 comments:
Post a Comment