728x90 AdSpace

Wednesday, September 21, 2016

MSHAMBULIAJI WA SIMBA AJIUNGA NA MFALME WA OMAN


Fanja,Oman.

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba SC,Danny Lyanga (Pichani) amejiunga na klabu ya Fanja inayoshiriki ligi kuu ya Oman kwa mkataba wa miaka miwili.

Lyanga amejiunga na Fanja baada ya benchi la ufundi la klabu hiyo linaloongozwa na kocha Abdulraheem Al-Hajri kukoshwa na uwezo wake katika kipindi kifupi alichofanya majaribio na klabu hiyo.  

Fanya maarufu kama Al-Malik au The

King (Mfalme) ilianzishwa mwaka 1970 na makao yake makuu yapo katika uwanja waAl-Seeb Stadium wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 14000.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MSHAMBULIAJI WA SIMBA AJIUNGA NA MFALME WA OMAN Rating: 5 Reviewed By: Unknown