Borussia,Ujerumani.
LIGI ya mabingwa barani Ulaya maarufu kama UEFA Champions League itaingia katika mzunguko wake wa pili leo Jumanne usiku Septemba 26,2016 kwa michezo minane kuchezwa katika viwanja mbalimbali barani humo.
Mabingwa watetezi wa michuano hiyo Real Madrid watakuwa ugenini nchini Ujerumani kuvaana na wenyeji wao Borussia Dortmund huko Signal Park Iduna.
Mchezo mwingine unaotarajiwa kutoa burudani ya aina yake leo ni ule utakaochezwa huko Moscow,Urusi ambapo wenyeji wa mtanange huo CSKA Moscow watakuwa wenyeji wa Tottenham Hotspurs.
Michezo yote minane itaanza saa 3:45 Usiku kwa saa za Tanzania.Ratiba kama hii hapa chini.
0 comments:
Post a Comment