Dar Es Salaam,Tanzania.
Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake leo Jumamosi Agosti 20, 2016 kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini.
Ratiba Kamili
Mchezo kati ya Azam FC na African Lyon uliopangwa kuchezwa Chamazi Complex utachezwa saa 1:00 usiku badala ya sasa 10:00 kama ulivyotangazwa hapo awali ili kutoa nafasi kwa timu ya Serengeti Boys kufanya mazoezi ya mwisho katika uwanja huo kabla ya Jumapili jioni kuvaana na timu ya taifa ya vijana wa Afrika Kusini (Amajimbos) katika mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu michuano ya AFCON kwa vijana.
Agosti 21,2016
Kagera Sugar v Mbeya City
Toto Africans vs Mwadui FC
0 comments:
Post a Comment