London, England.
Kwa mujibu wa Shirika la habari la Uingereza (BBC) hiki ndicho Kikosi Bora Cha Wiki Ligi Kuu England.
Kipa:Eldin Jakupovic (Hull City)
Mabeki:Cesar Azpilicueta (Chelsea),John Stones (Manchester City),Mason Holgate (Everton),Matthew Lowton (Burnley)
Viungo:Cesc Fabregas (Chelsea) na Tom Huddlestone (Hull City)
Washambuliaji:Cristhian Stuani (Middlesbrough),Sergio Aguero (Manchester City),Raheem Sterling (Manchester City) na Zlatan Ibrahimovic (Manchester United)
0 comments:
Post a Comment