Dar Es Salaam,Tanzania.
Klabu ya Simba imekubali mwaliko maalumu wa kwenda kucheza mkoani Dodoma na timu ya Polisi Dodoma katika dhima ya kuunga mkono maadhimio ya Serikali kuhamia Dodoma.
Pichani ni Msemaji Mkuu wa klabu ya Simba Haji Manara na Mwenyekiti wa chama cha Mpira mkoani Dodoma Mh. Mlam Ng'ambi
0 comments:
Post a Comment