Cairo,Misri.
PAZIA la michezo ya nane bora (Robo Fainali) la michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika na ile ya Kombe la Shirikisho Afrika linatarajiwa kufungwa leo Jumanne na kesho Jumatano kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja mbalimbali barani Afrika.
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara,Yanga SC,leo watakuwa wageni wa TP Mazembe huko Lubumbashi Congo DR katika uwanja wa Stade de Mazembe.Mchezo huo utaanza majira ya saa 9:30 mchana kwa saa za Tanzania.
Ratiba ya Michuano yote iko kama Ifuatavyo
Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)
Jumanne Agosti 23,2016
Kundi B
Enyimba v Mamelodi Sundowns
Jumatano Agosti 24,2916
Kundi A
ASEC Mimosas v Al Ahly
Zesco Utd v Wydad Casablanca
Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup)
Jumanne Agosti 23, 2016
TP Mazembe v Young Africans
Mouloudia Bejaia v Medeama
FUS Rabat v Etoile Sahel
Jumatano Agosti 24,2016
Kawkab Marrakech v Al Ahly Tripoli
0 comments:
Post a Comment