London, Uingereza.
DROO ya hatua ya tatu ya kombe la ligi maarufu kama EFL zamani Capital One Cup imefanyika Jumatano Usiku.Katika droo hiyo mabingwa watetezi wa kombe hilo Manchester City wataanza kuutetea ubingwa wao kwa kuvaana na Swansea City katika dimba la Liberty Stadium.
Arsenal watakuwa wageni wa timu ya daraja la kwanza ya Nottingham Forest,Liverpool watakuwa Derby kuvaana na wenyeji wao Derby County.Michezo itachezwa kuanzia Septemba 19 mwaka huu.
Droo kamili iko kama ifuatavyo
0 comments:
Post a Comment