Monaco,Ufaransa.
DROO ya upangaji wa makundi ya UEFA EUROPA LIGI imefanyika mchana huu huko Monaco,Ufaransa.
Katika droo hiyo timu 48 zimegawanywa katika makundi 12 ya timu nne nne.Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi lake Septemba 15 na kuhitimishwa Mei 24,2017 kwa mchezo wa fainali kupigwa katika dimba la Friends Arena Solna Stockholm, Sweden
DROO KAMILI:
KUNDI A: Manchester United, Fenerbahce,Feyenoord, Zorya
KUNDI B: Olympiacos, Apoel, Young Boys,FC Astana
KUNDI C: Anderlecht, St Etienne, Mainz, Qabala
KUNDI D: Zenit St Petersburg, AZ Alkmaar, Maccabi Haifa, Dundalk
KUNDI E: Viktoria Pizen, AS Roma,Vienna, Astra Giurgiu
KUNDI F: Athletic Bilbao,KRC Genk, Rapid Vienna, Sassuolo
KUNDI G: Ajax, Standard Liege, Celta Vigo Panathinaikos
KUNDI H: Shakhtar Donetsk, Braga, Gent,Konyaspor
KUNDI I: Schalke, Salzburg, Krasnodar,Nice
KUNDI J: Fiorentina, PAOK, Slovan Liberec, Qarabag
KUNDI K: Inter Milan, Spata Praga,Southampton, Hapoel Be’er Sheva
KUNDI L: Villarreal, Steau Bucharest, FC Zurich,
0 comments:
Post a Comment