Chelsea wanahitaji uwanja mkubwa na mzuri ndiyo.Roman Abramovich tayari ameshawapa kazi wakali wa ubunifu wa majengo Jacques Herzog na Pierre de Meuron ambao walibuni uwanja maarufu wa Olympic ulioko Japan uitwao kiota cha ndege "Birds net".Abramovich amepania kuupanua uwanja wa Stamford Blidge mpaka kuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 60,000.
Zifuatazo ni picha zinazoonyesha jinsi Stamford Blidge mpya itakavyokuwa 2017-18
Zifuatazo ni picha zinazoonyesha jinsi Stamford Blidge mpya itakavyokuwa 2017-18
0 comments:
Post a Comment