KIPENGA KIMESHALIA.Ligi ya India (ISL) imezinduliwa rasmi juzi jumamosi tayari kwa msimu mpya wikiendi ijayo ambapo vilabu vinane vitachuana na kumpata bingwa mwezi Desemba.Mabingwa wa msimu uliopita ni Atletico de Kolkata ianochezewa na Helder Postiga.Tazama jinsi uzinduzi ulivyofana
Pichani ni makocha: Kerala Blasters coach Peter Taylor, Atletico de Kolkata coach Antonio Lopez Habas, North East United manager Cesar Farias, Chennaiyin manager Marco Materazzi, FC Goa head coach Zico, Pune City coach David Platt and Mumbai City manager Nicolas Anelka |
David Platt kocha wa zamani wa Manchester City ataifundisha klabu ya Pune City
0 comments:
Post a Comment