Baada ya kukamilika kwa michezo ya raundi ya 3 ya kombe la ligi (Capital One) hapo jana usiku ifuatayo ni ratiba ya michezo ya raundi ya 4 inayotarajiwa kuchezwa Octoba 26.
Everton vs. Norwich
Hull vs. Leicester
Liverpool vs. Bournemouth
Manchester City vs. Crystal Palace
Manchester United vs. Middlesbrough
Southampton vs. Aston Villa
Sheffield Wednesday vs. Arsenal
Stoke vs. Chelsea
Matokeo ya Michezo ya raundi ya 3 yako kama ifuatavyo....
Tottenham 1-2 Arsenal (Mathieu Flamini)
Manchester United 3-0 Ipswich Town (Andreas Perreyra,Wayne Rooney na Antony Martial)
Newcastle United 0-1 Sheffield Wednesday (Lewis MacGugan)
Mk Dons 0-6 Southampton (Sadio Mane,Shane Long na Jay Rodriguez)
Walsall 1-4 Chelsea (Remmy,Ramires,Kennedy na Pedro)
Crystal Palace 4-1 Charlton (Dwight Gayle)
Norwich 3-0 Westbrom (Matt Jarvis,Kyle Lafftery na Pocognoli)
Liverpool 1-1 Carlisle (3-2 penati)
0 comments:
Post a Comment