Liverpool,England.
Liverpool imesafiri kwenda kuivaa Bordeaux ya Ufaransa bila ya mastaa wake muhimu wa kikosi cha kwanza katika mchezo wa leo usiku wa michuano ya Ulaya (Europa League)
X
Mastaa walioachwa ni James Milner, Nathaniel Clyne, Martin Skrtel, Dejan Lovren, Lucas Leiva na Christian Benteke huku nafasi zao zikitarajiwa kuchukuliwa na Mamadou Sakho,Kolo Toure.Alberto Moreno,Divock Origi na kiungo Adam Lallana
0 comments:
Post a Comment