Robert Lewandowski ameendelea kuonyesha kuwa yeye ni mshambuliaji mkali duniani baada ya hapo jana kuiongoza Bayer Munich kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mainz 05 katika mchezo wa ligi ya Bundesliga.
Katika mchezo huo Lewandowski alifunga mabao mawili na kufikisha jumla ya mabao 101 tangu aanze kucheza katika ligi hiyo kubwa nchini Ujerumani.
Mabao 74 akiwa na Borussia Dortmund na 26 akiwa na Bayern Munich.
0 comments:
Post a Comment